Wamvamia rais urusi wakiwa matiti nje

Unknown     11:12 PM    


Na Elvan Stambul
WANAWAKE wanne hivi karibuni walimfanyia kituko cha mwaka Rais  wa Urusi, Vladimir Putin baada ya kumvamia wakiwa vifua wazi vilivyoandikwa “Wewe Dikteta.”
Wasichana hao walidhibitiwa na wana usalama ambao waliwakamata na kuwatumbukiza kwenye magari na kumuacha Kiongozi wa Ujerumani, Chancela Angela Merkel aliyekuwa na Rais Putin akiwa ‘hana mbavu kwa kicheko.
Hata hivyo, kabla ya kutiwa nguvuni wasichana hao, Angel alionekana kuogopa. Walikuwa kwenye maonesho ya magari nchini Ujerumani.

GPL
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.