Video na picha:Kanga moko laki si pesa watiwa Mbaroni kwa kuchochea ngono! Wajumuishwa na makahaba!

Unknown     11:30 PM    



Hapa ni katika show ya Diamond huko Bukoba ,,nguo ya ndani tupa kule:



Mwanamke  akimwagiwa  maji  matakoni  mbele  ya  watoto  waliohudhuria



Paja lote  liko  nje  huku  akihema  utafikiri  mbwa  aliyekurupushwa



Hapo  wanafanya  mapenzi  live  japo  hawajavua.....Iko  haja  ya  kuwakataza  watoto  kushiriki  show  kama  hizi.....

Hili  ni  kundi  la  watoto  kama  unavyoliona....Kati  yao  wengine  ni  wanafunzi....Wakifeli, lawama  zote  kwa  serikali...





Huyu  hata  chupi  hana.Ni  kanga  tu  tena  imefungwa  upande  mmoja.Haya  madanguro  ya  uchi  yanakera  sana




CHEKI VIDEO HAPA CHINI




JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni, linalishikilia kundi maarufu kwa kucheza maungo yakiwa wazi ‘Kangamoko na Laki si Pesa’.
Watuhumiwa hao wamekamatwa sambamba na watu wengi wanaofanya biashara ya kuuza miili yao, kufanya mapenzi hadharani na vitendo vya kishoga.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela, alisema kuwa kundi hilo sambamba na watu hao walikamatwa katika maeneo ya Hoteli ya Travertine, Ambiance Club, Kinondoni Makaburini, Coco Beach na Barabara ya Tunisia.
“Tumewakamata hao wanaofanya mchezo maarufu wa Kangamoko na Laki si Pesa na tayari wanafikishwa mahakamani muda wowote na msako bado unaendelea ili kudhibiti vitendo hivyo na michezo hiyo ya kangamoko au baikoko ambayo watu wengi wameilalamikia kutokana na mtindo wanaoutumia,” alisema.
Kundi la kangamoko limekuwa likilalamikiwa mara kwa mara kutokana na kucheza wakionesha maungo ya miili yao wazi na kuvaa nguo nyepesi wanazozimwagia maji.
Kukamatwa wasanii wa kundi hilo kumekuja siku chache tu tangu walalamikiwe katika Bunge la Jamhuri ya Muungano kwamba wamekuwa wakipotosha jamnii.
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.