Chata Ya T Shirt Inayokubalika Zaidi Arusha Ndio Hii.

Unknown     5:45 AM    


Anaitwa Gentriez Mwakitabu ni rapper wa River Camp Soldiers na mwanzilishi wa Chata ya Arusha Boy Na Arusha Girl. Logo hii ni moja ya sehemu na mambo tofauti anayo fanya kwenye sanaa kutengeneza pesa. Ana tengeneza T Shirt na Tops kwa Mabinti. Arusha Boy Inakubalika sana Arusha Na Tanzania.




LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.