Wasanii Wa Africa Mashariki Waliotajwa Kwenye Tuzo Za Burudani Za Nigeria, Orodha Ipo Hapa.

Unknown     3:41 PM    

Kundi la Camp Mulla Na P Unit Kutoka Kenya wametajwa kwenye orodha ya wasanii wanao wania Tuzo Za Nigeria Za Burudani. Kwenye Orodha Hio Pia wapo wakali kutoka Uganda, Wasanii wanaokubalika Africa Mashariki kwa melody zinazoshika watu kiraisi zaidi Moze Radio na Weasel wa Goodlyfe Na Rapper Navio wametajwa kwenye kipengele hicho cha  Best Eastern Africa Artist Or Group Of The Year. Wasanii wengine ni K'Naan Na Fally Ipupa

EASTERN AFRICAN ARTIST OR GROUP OF THE YEAR
CAMP MULLA
FALLY IPUPA
K’NAAN
NAVIO
RADIO & WEASEL
P UNIT
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.