Hapa ni katika show ya Diamond huko Bukoba ,,nguo ya ndani tupa kule:
![]() |
Mwanamke akimwagiwa maji matakoni mbele ya watoto waliohudhuria |
Paja lote liko nje huku akihema utafikiri mbwa aliyekurupushwa |
Hapo wanafanya mapenzi live japo hawajavua.....Iko haja ya kuwakataza watoto kushiriki show kama hizi..... |
Hili ni kundi la watoto kama unavyoliona....Kati yao wengine ni wanafunzi....Wakifeli, lawama zote kwa serikali... |
Huyu hata chupi hana.Ni kanga tu tena imefungwa upande mmoja.Haya madanguro ya uchi yanakera sana |
CHEKI VIDEO HAPA CHINI
JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni, linalishikilia kundi maarufu kwa kucheza maungo yakiwa wazi ‘Kangamoko na Laki si Pesa’.
Watuhumiwa hao wamekamatwa sambamba na watu wengi wanaofanya biashara ya kuuza miili yao, kufanya mapenzi hadharani na vitendo vya kishoga.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela, alisema kuwa kundi hilo sambamba na watu hao walikamatwa katika maeneo ya Hoteli ya Travertine, Ambiance Club, Kinondoni Makaburini, Coco Beach na Barabara ya Tunisia.
“Tumewakamata hao wanaofanya mchezo maarufu wa Kangamoko na Laki si Pesa na tayari wanafikishwa mahakamani muda wowote na msako bado unaendelea ili kudhibiti vitendo hivyo na michezo hiyo ya kangamoko au baikoko ambayo watu wengi wameilalamikia kutokana na mtindo wanaoutumia,” alisema.
Kundi la kangamoko limekuwa likilalamikiwa mara kwa mara kutokana na kucheza wakionesha maungo ya miili yao wazi na kuvaa nguo nyepesi wanazozimwagia maji.
Kukamatwa wasanii wa kundi hilo kumekuja siku chache tu tangu walalamikiwe katika Bunge la Jamhuri ya Muungano kwamba wamekuwa wakipotosha jamnii.