Msikilize wema sepetu akifunguka kwa nini anapenda sana instagram kuliko facebook na twitter

Unknown     12:53 AM    



The Sound bite ni kitu kipya hapa Bongo5. Utakuwa ukisikiliza sauti za maceleb mbalimbali wa Tanzania wakizungumza kwa ufupi kuhusu masuala mbalimbali katika maisha yao ya kawaida, wanachopenda, wanachosikiliza, wanachochukia na mambo mengine ya kawaida katika maisha yao. Msikilize hapa Wema Sepetu akielezea kwanini anapenda zaidi kutumia mtandao wa kijamii wa Instagram kuliko Twitter na Facebook.

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.