Wananchi wa Mikese wagoma kutoka barabarani mpaka wamuage NGWEA

Unknown     9:33 AM    

 Wanamchi wa maeneo ya mikese, wamekusanyika na kuusimamisha msafara uliobeba mwili wa marehem Ngwea kwa kutaka na wao wamuage, akizungumza na Cloud Fm "Moe Fire" amesema walikutana na kundi la watu na kudhani labda kuna tatizo. Baada ya kusimamishwa na trafic na kuuliza tatizo ni nini, Trafic alisema kuwa wananchi hao wamekusanyika na ili kuuaga mwili wa marehem Ngwea na kudai kitendo hicho kikifanyika ndio amani itapatikana.
Kilichofanyika ni kuruhusu watu wle walishike gari lililokuwa na mwili wa Ngwea na kuondoka, lakini baada ya kuondoka, zaidi ya pikipiki 50 walizozikuta pale ziliongoza msafara huku magari mengine pia yakiunga msafara hu
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.