Tundu lisu achoma moto kadi za CCM,angalia picha hapa
Unknown
9:44 PM
Ni baada ya wananchi kuzikusanya na kuzipeleka kwenye mkutano aliokuwa akihutubia
Baada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo lissu hakuja nazo akazichoma moto.