Tazama picha za maandalizi ya mazishi ya langa kutoka nyumbani kwa Mikocheni..!!

Unknown     3:57 AM    


Hapa ndipo alipokuwa analelewa Langa kwa wazazi wake baba na mama na hizi picha ni wasanii wakifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari kutoka Star TV na EATV. Picha ya juu ni Kalapina na picha za chini ni Kala Jeremiah





Ni Nyumban kwa Marehem Langa hapa Kalapna akmuongelea Mwana hiphop Mwenzie Marehem Langa,Pina amesema ameumia sana kwani Langa alkuwa Mwanahiphop aliekuwa akifata Misingi ya Hiphop.RIP Langa

LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.