Tamko la balozi wa Tanzania wa Africa ya kusini kuhusu kuchelewa kufika kwa mwili wa marehemu Ngwair Tanzania

Unknown     5:03 AM    


Balozi wa Tanzania Africa ya Kusini Radhia Msuya.
Balozi wa Tanzania Africa ya Kusini kwenye picha hapo juu ametoa pole kwa familia,wasanii na wadau wote kwa kupotelewa na kijana ambaye bado watu walikuwa wanamuhitaji.Amesema kuwa mwili wa marehemu Ngwair umechelewa kufika Tanzania kutokana na post mortem na taratibu za kupata kibali cha kusafirisha mwili huo kutoka Serikali ya Africa ya Kusini.Radhia alisema kuwa kama taratibu zote zitaenda sawa mwili huo utawasili siku ya Jumanne Tanzania.MSIKILIZE hapo chini;
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.