Soma na sikiliza alichokisema Saida Karoli kuhusu habari za kuwa kafariki

Unknown     1:15 AM    




kumekuwa na taarifa zilizoenea kuanzia jana kuwa mwimbaji wa nyimbo za asili Saida Kalori amefariki dunia kwa ajali ya maji baada ya chombo alichokuwa amepanda kuzama katika ziwa Victoria, msanii huyo amekajitokeza na kukanusha uvumi huo.


Saida Kalori ambae ameweza kuliteka soko la muziki wa asili kwa uwezo wake mkubwa wa kuimba, kucheza na kupiga ngoma ameongea na mtandao wa bongo5 na kuwataka wawaambie watanzania kuwa yuko hai.
“Mungu wangu, mimi niko hai..niko hai ndugu yangu, naomba uwaeleze watanzania kwamba Saida ni mzima, hakuna chochote kilichotokea hata mimi mwenyewe nimeshangaa..kuanzia jana mishale ya kama…watu wanapiga simu, ni swala la msiba lakini sio kweli. Aliongea Saida kwa mshangao mkubwa.
Bonyeza hapa kumsikiliza
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.