Sintah afunguka kuhusu demu aliyemwaga radhi katika shindano la kumsaka miss Tabora 2013. Cheki alichokiandika kwenye blog yake

Unknown     11:45 AM    

maajabuu ya musa.........
kubinuka binuuuu, wee Ommy Dimpoz ndo unavyochengua watu hivyo? Lols
wabunge wakijionea mambo 

Hatimaye Miss Tabora akapatikana
Jamaniiiii hizi pombe za ukubwani hizi yaani mtu unajichezea tuuu hujui wakina nani wanakuangalia, huna habari nani ana hamu ya kuona sehemu zako za sirii aishii cheap,cheap.
Burudani ilikuwa nzuriiiii lakini wafakamia bia za bure siku zote huwa hawana nidhamu heeee kunywa bila standard ndo mwisho wake kukatika mshipa wa staha na aibu na kuanza kutia doa sherehe. Libeneke la shosti hapo mbele ya waheshimiwa jamaniiiiiii au ndo kujipa promo?????

Aiiii wadada tunakuwaje siku hizi Lolest. Tupunguze parakatumba eeeh.
Hongera kwa Miss Tabora 2013, she is beautiful.

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.