Picha 15 za utengenezaji wa video mpya ya Izzo Bizness “love me” …

Unknown     1:50 AM    




Siku ya jana, Mbeya City rapper IZZO BIZNESS was shooting his new music video ambayo itafuata … Ni video ya ngoma yake ya LOVE ME aliyofanya na SHAA pamoja na BARNABA … Ilikuwa ni siku nzima ya kazi kubwa ya shooting ya video hiyo …
Imefanywa na Dir. NICK DIZZO kutoka kampuni ya utengenezaji video ya E-MEDIA … Kila mtu alikuwepo kufanikisha uchukuaji wa video hiyo …
Hizi baadhi ya picha za location tofauti za video hiyo, zitazame hapa chini ;
















LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.