Mwanamke kukauka maji sehemu za siri wakati wa mambozi…..ushauri jamani

Unknown     5:02 PM    

Husika na Kichwa cha habari hapo juu Mimi ni Msichana wa umri wa Miaka 21 , Nimeanza mapenzi muda kidogo , Boyfriend wangu wa kwanza nilikuwa na Miaka 18 nilikaa nae miezi sita tu tukaachana sababu anasema mimi sio mtamu na alikuwa haenjoy tukifanya tendo kwa vile muda wote mimi ni mkavu huku chini hata akiniandaa vipi  tukishaanza tu nakauka, Wa pili nae akawa analalamika hivyo alijitahidi lakini ikafika wakati akawa hadi anachubuka sehemu zake Akaniacha, Kwa sasa ninae mwingine mpya sijawahi fanya nae kitu chochote kila siku nampiga tarehe kwa kuogopa nae atanikimbia ..Naombeni ushauri Nifanye nini ama nitumie dawa gani .
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.