Mtanzania Feza Kessy Anusurika Kutolewa Big Brother Africa

Unknown     9:49 PM    


Mtanzania Feza Kessy ambae yuko ndani ya Jumba la Big Brother Amenusurika kutoka katika jumba la Big Brother Baada ya kuwekwa katika list ya Wanaopigiwa kura kutoka na Betty ambae alikuwa Head of House wa Week iliyopita...
Walio pigiwa kura kutoka ni LK4 wa Uganda na Koketso wa South Africa.
Hongera Fezza
Hivi ndivyo walivyopigiwa kuru na nchi tofauti :
Total: Hakeem = 6; Feza = 3; Dillish =3, Koketso = 2, LK4 = 1. (Total: 15 Votes) LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.