Mourinho atua rasmi London kuanza kazi Chelsea

Unknown     12:54 PM    


                                                                      JOSE MOURINHO
Kocha Jose Mourinho ametua kwenye uwanja wa ndege wa Heathrow baada ya Real Madrid Kuthibitisha kwamba Special one anarejea Stamford Bridge.
Florentino Perez,ambaye alichaguliwa kuwa Rais wa Real kwa miaka mingine minne Jumapili asubuhi,ameiambia Sky Sports news kwamba Mourinho anarejea kuwa kocha wa Chelsea kwa mara ya pili.

Mapema Jumapili,Bodi ya Ligi kuu England iliomba radhi kwa kuweka kwenye tovuti yao habari ambayo haijawa tayari kwamba Mourinho amerejea kufanya kazi Stamford Bridge
.
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.