Mambo matatu atakayoyaongelea Jokate ndani ya mkasi show, soma na tazama picha exclusive hapa

Unknown     1:19 AM    


Kile kipindi maarufu cha TV cha Mkasi ambacho hurushwa na channel ya EATV, kitaendelea tena season ya pili hivi karibuni na moja ya watu waliopata bahati ya kuhojiwa ndani ya kipindi hicho ni mwanadada Jokate mwengelo (Muigizaji na mjasiriamali) katika season hii mpya.
Bongo movies tulipata nafasi ya kuzungumza na mmoja wa waandaaji wa kipindi hicho kuweza kupata baadhi ya mawili matatu ambayo mlimbwende huyo atayazungumzia. Baadhi ya mambo ambayo dada yetu atafunguka kwenye show hii ni haya yafuatayo.
1. Maendeleo ya kampuni yake ya kidoti toka ilipoanzishwa mpaka sasa
2. Story za maisha yake ya mahusiano na ukweli mzima wa ishu yake na Diamond Platnumz
3. Mipango yake ya baadaye na kampuni yake ya kidoti


Picha kwa hisani ya Slide Visual 
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.