Jose Mourinho Afunguka Kuhusu Sababu ya Kutoelewana Na Christiano Ronaldo,

Unknown     2:07 AM    

   Aliye kuwa kocha wa Real Madrid Jose Mourinho Amefunguka Kuhusu Sababu ya Kutoelewana Na Christiano Ronaldo, na kusema ni mchezaji anaye jidai anajua kila kitu ndio maana hatukuelewana kwa muda mrefu. Jose amesema Ronaldo hataki kukosolewa na ni mbishi, kama kocha siwezi kufanya kazi na mtu asiye taka kuwa bora kwa kuskiliza mafunzo yangu. Fahamu uwezo mkubwa wa Jose kushinda makombe huwa unatokana na mahusiano mazuri aliyo nayo na wachezaji wake. Pia Leo asubuhi kipindi cha PressPass kiliripoti Kuwa Kulikuwa na Kampeni ya siri ya kupinga uongozi wa Jose Mourinho pale Real Madrid na ni moja ya sababu ya yeye kuondoka


LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.