Hii Tabia ya Kutembea na Waume au Wake za Watu iishe jamani? Mbona Wanaume au wanawake Ma-Bachelor Wapo Kibao? Ukimwi nao hatuuogopi? Kuna Nini Huko Katika Ndoa? Uchunguzi uliofanywa na mtandao huu umebaini kuwa siku hizi watu wanaolewa au kuoa ili kuifurahisha jamii tu. Ndoa zetu zimejaa usaliti wa kila hali.Chanzo cha maovu hayo ni tamaa ya pesa, kutoridhika kimapenzi, ushawishi wa kupandishwa vyeo kazini na mambo mengine kibao.













Picha kwa msaada wa mitandao mbalimbali