Huu ndio umati wa wakazi wa Morogoro waliojitokeza kuuaga mwili wa Ngwea....uwanja wa jamhuri wafurika..!!
Unknown
5:25 AM
Hii ni kwenye mlango wa kuingia uwanja wa Jamuhuri kuuaga mwili wa Marehemu Ngwea Morogoro. Foleni ya kwenda kumuaga marehemu Albert Mangwea kwenye uwanja wa Jamuhuri Morogoro.