Hizi ndo vurugu zinazoendelea kutokea kipindi hiki ambacho mwili wa Ngwair bado unapelekwa Muhimbili, tazama picha hapa

Unknown     7:49 AM    

Wananchi wamepora msalaba na kuzuia gari lililobeba mwili wa marehem


<br>
akiendelea kuongoza msafara kwenda muhimbili! Watu bado wanazuia gari kuondoka
https://pbs.twimg.com/media/BL60U_HCQAA6PC2.jpg:large
Wananchi wamelizunguka gari lililobeba mwili wa marehemu!!
Wananchi wanashusha wasanii kubeba msalaba sasa wameshusha
Hali ndo kama hii barabani kwenye msafara uliopokea mwiri wa marehemu

vurugu zimeanza after police kutokea
Vurugu zimezidi!! P_Majani anasaidia kuongea na police
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.