Hii ni jinsi mademu wengi wanavyoongeza makalio na hips zao .
Unknown
12:56 AM
Ya Kichina hayoooo, unaweza kudhani umepata kumbe umepatikana, blog hii imeona ijaribu kutoa somo kwa nyie wakaka mnae mezeaga mate kwa kuona tu mtu kapita na hizi suruali za kisasa zinazobanaga. Unaweza ukawa unauziwa mbuzi kwenye gunia. Unaona kitu mahips ya nguvu na makalio fresh kumbee hola.