Hii ndiyo picha ya mwanamke aliyepoteza fahamu wakati wa kuuaga mwili wa marehemu Mangwea kwenye uwanja wa jamhuri Morogoro..!!

Unknown     12:24 PM    

Mwanadada huyu ambaye hakufahamika jina lake mara moja alipoteza fahamu baada ya kuuaga mwili wa msanii mahiri wa Muziki wa Kipya, Albert Kenneth Mangweha leo katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.






LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.