Finaly Madee Na Afande Sele Wayamaliza.#Nice

Unknown     8:53 AM    

Hii Ni picha ya kwanza wanapiga toka vyombo vya habari viripoti kuwa hawaelewani, Wasanii Ambao hutupiana maneno kwenye nyimbo zao, Raisi wa Tip Top Connnection Madee  na Afande Sele katika Uwanja wa Jamhuri Morogoro. Wameletwa pamoja na msiba wa Ngwear. #RIPNgwear.
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.