Cheki maelfu ya watu walivyojitokeza kumuaga Albert Magwea huko leaders.....

Unknown     1:40 AM    



Mwili wa marhemu Albert Mangwea ukiwa kwenye jeneza tayari kwa watu kutoa heshima za mwisho




Umati wa watu wakiwa wamepanga mstari tayari kwa kwenda kuaga huku kikosi cha msalaba mwekundu na polisi kikiwa stand by.

Baadhi ya wasanii wa bongo wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuaga.










Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.