Bavicha washiriki Kuaga mwili wa Mangwea

Unknown     10:51 PM    

Mwenyekiti wa Baraza la vijana la chadema John Heche akihojiwa na waandishi wa habari alipohudhuria kuaga mwili wa mwanamuziki wa Muziki wa Kizazi kipya Mangwea aliyefariki nchini Afrika ya Kusini na mwili wake kuletwa Tanzania kwa mazishi.

Vijana wa CHADEMA, wakiongoza na Mwenyekiti wa BAVICHA, John Heche leo walijumuika na vijana wenzao na Watanzania wengine kutoa heshima za mwisho kwa mwanamziki Albert Mangwea, leo katika viwanja vya Leaders Club. Heche aliambatana na Diwani wa Sinza, Renatus Pamba, Kamanda Jackson Makala na Katibu wa Tawi la Sinza C, Peter Uiso. Hapa wanasalimiana na watu waliofika msibani, kushoto ni producer maarufu, Mako Chali.
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU. </

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.