Baba yake Langa,mzee Kileo amesema mwanae Langa amefariki leo, hiki ndo alichokisema kuhusu taratibu za mazishi

Unknown     10:27 AM    




Baba wa marehemu Mzee Kileo amesema kuwa mtoto wake Langa kwenye picha amefariki dunia leo majira ya saa 10 katika hospitali ya Taifa Muhimbili.Taarifa kamili na mipango ya mazishi zitatolewa pale vikao vya familia vitakapofanywa.Pia baba yake alisema msiba huu umetokea wakati mama yake Langa hayupo Tanzania,alisema kwa sasa mama yake Langa yupo Marekani lakini baada ya kupewa taarifa hizo tayari ameshakata tiketi ya kurudi Tanzania na ataanza safari kesho.Msiba uko nyumbani kwao maeneo ya Mikocheni
#RIP Aarif!
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.