Msanii Kala Jeremuih akipokea Tuzo usiku wa Jumamosi,Mlimani City.Msanii huyo leo amesema kuwa ameamua kumuenzi marehemu Ngwair kwa kwenda kukabidhi Tuzo moja kwa mama yake Ngwair.
"MIMI KAMA MSANII BORA WA HIP HOP KWA MWAKA HUU NAPENDA KUCHUKUA MUDA HUU KUWATANGAZIA WATU WOTE KUWA. KATIKA TUZO TATU NILIZOCHUKUA MOJA NAIKABIDHI KWA ALBERT MANGWEHA.YANI NI TUZO YA MANGWEA NA NITAIPELEKA KWA MAMA MZAZI WA MANGWEA MOROGORO.
