Wema Sepetu awa jaji kwenye miss Dar city center cheki picha zake akipiga mzigo

Unknown     11:00 PM    

Madam director ndiyo jina lake jipya hivi sasa wanadada Wema Sepetu ambaye aliwahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2006. Kufanikiwa kukamata taji hilo mbele ya waremb wenzake wakali kama Jokate,Aunty Ezekiel na wengine, ni moja ya sababu na sifa za kumfanya aweze kuwa jaji wa Miss Dar City center. Wiki hii Wema ameshiriki kwenye prejudment kwenye hotel ya Jangwani sea breeze akiwa na Tiny Dady mmoja kati ya blood member wa Endless filim production.Pictgure Picture


LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.