Shabulizi katika kanisa Katoliki la Arusha la sababisha taharuki
Polisi nchini Tanzania inawashikilia watu wa nane kwa madai ya kuhusika na mlipuko wa siku ya jumapili katika kanisa Katoliki la Olasit viungani mwa mji wa Arusha.
Miongoni mwa washukiwa ambao wako mikononi mwa polisi ni raia wanne wa Saudi Arabia, na wengine wanne ni raia wa Tanzania.
Wakati mwandishi wa BBC Baruan Muhuza akuzungumza akiwa hospitalini mjini Arusha amesema idadi ya watu waliofari dunia kufuatia mlipuko huo ni wawili na wala sio watatu kama ilivyoripotiwa hapo awali.
Polisi mjini Arusha vile vile wamethibitisha kuwa waliokufa wakati wa tukio hilo la kigaidi ni wawili.
Kwa wakati huu polisi wanachunguza ni kulipuzi aina gani kilitumika wakati wa shambulizi hilo.
Lakini Baruan Muhuza ambaye alitembelea eneo la tukio mbali na majeruhi hakuna hasara kubwa iliyotokea mahali hapo pia sakafi na kuta za kanisa hilo hazikuchimbika sana.
Kutoka Dar es Salaam Leornad Mubali anaongezea kuwa watu wawili sana wamethibitishwa kufariki dunia katika mlipuko huo uliotokea majira ya saa tano asubuhi katika kanisa katoliki la Olasit nje kidogo ya mji wa Arusha nchini Tanzania na wengine kadhaa kujeruhiwa huku balozi wa papa na watawa waliokuwa katika shughuli hiyo maalumu ya uzinduzi wa parokia mpya ya mtakatifu Yosefu mfanyakazi wakinusurika pia .
Kwa mjibu wa Padri Festus Mangwangi ambaye ni paroko msaidizi wa kanisa katoliki jimbo la Arusha mlipuko huo unapotokea walikuwa tayari katika hatua ya kubariki maji kwaajili ya uzinduzi wa kanisa ulikuwa ukiongozwa na balozi wa Papa Fransis. Shambulizi la Arusha
Hata hivyo Padre Mangwangi ameiambia BBC kuwa taarifa walizonazo muda mfupi baada ya majeruhi kukimbizwa hospitali watu kati yao wamefariki huku wengine wakiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Mount Meru mjini Arrusha.
Shughuli zote kuhusiana na ibada hiyo zimesitishwa huku watalaalamu wa milipuko na polisi wakiendelea na uchunguzi kuhusiana na mlipuko huo.
Bado hakuna taarifa zozote kuhusiana na chanzo halisi cha bomu hilo ama kundi lolote linalodaiwa kuhusika na utegaji wa bomu hilo.
Hili ni shambaulio la kwanza la bomu nchini Tanzania japo kuwa mwaka huu pia kulikuwa na mtukio ya mauaji ya Padre wa kanisa hilo visiwani Zanzibar ambaye alipigwa risasi wakati akiwa anajiandaa kuingia kanisani
WASAUDIARABIA WANNE NA WATANZANIA WANNE, WAKAMATWA WAKIHUSISHWA NA MLIPUKO WA ARUSHA, SOMA HAPA
Unknown
2:10 PM
Recommended
-
Anaitwa Gentriez Mwakitabu ni rapper wa River Camp Soldiers na mwanzilishi wa Chata ya Arusha Boy Na Arusha Girl. Logo hii ni moja ya se...
-
Hapa ni katika show ya Diamond huko Bukoba ,,nguo ya ndani tupa kule: Mwanamke akimwagiwa maji matakoni mbele ya watoto waliohudhu...
-
" Mimi ni mwanamke wa miaka 30 tatizo kubwa linalonitatiza ni kuwa wakati wa kufanya mapenzi na mr. Nitajuaje kama nami pia nimekojoa...
-
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda akiwapungia wanahabari wenzie mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Nd...
-
Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia ...
-
Kwa Mujibu wa Mtandao wa Kenyan Post Hizi ndio Picha za Msichana mmoja wapo ambae anakabiliwa na Mashtaka ya kukutwa wakifanya ma...
-
Socialite Huddah Monroe seems to be dogged by controversies in everything she lays her hands on. However, in a complete turn of events, th...
-
Inasemekana kuwa asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafikii kabisa kilele kwa upungufu wa nyege au matatizo mengine ya kimaumbile tukiachili...
-
The star was photographed with légs spread while she was performing on stage.. We can't help but wonder what she was up to before the c...
-
Hivi karibuni mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Ezekiel Malika 'Baba Kulwa' amenaswa gesti na mkewe akiserebuka na shoga a...