VIDEO: P- Funk akitoa la moyoni kuhusiana na msiba wa Ngwea.

Unknown     10:49 PM    




 

Kilichoendelea  katika viwanja vya Leaders Club ilikuwa ni  wasanii wote pamoja walishirikiana na familia ya Marehemu Albert Mangwair walikutana kwaajili ya kupanga mikakati ya mazishi pamoja na kukusanya Rambi Rambi kwaajili ya msiba huo.

Hizi ni baadhi ya picha ambazo zinaonyesha baadhi ya wasanii na watu mbalimbali wakiwa katika viwanja hivyo.

Mmoja wa Ndugu Zake Marehemu Ngwair.
Mmoja wa Ndugu Zake Marehemu Ngwair.

ngwea.....

ngwea.......

ngwea....

ngwea...

ngwea........



Wakati Huo Huo Producer mkongwe katika game hii ya muziki, P-Funk Majani nae ameonesha ni jinsi gani alivyoguswa na na tukio hili la kuondokewa na msanii ambaye alikuwa ni rafiki yake wa karibu sana marehemu Albert Mangwair …

Majani ni producer pekee ambaye alishiriki kwa kiasi kikubwa kwa kuweza kufanya rapper Ngwair kutambulika katika game ya muziki wa Bongo Flava

Akiongea na mwandishi wetu kutoka GongaMx.Com, Majani ameeleza utayari wake katika kushirikiana na familia ya marehemu Albert Mangwair mpaka rafiki yake huyo atapozikwa

Mcheki MAJANI akiwa anaongelea suala zima kuhusina na msiba huu na utayari wake katika kushiriki 

CHEKI VIDEO YA MAJANI AKIONGEA KWA JAZBA KUHUSU MSIBA WA NGWAIR.
LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.