Video: Lord Eyez akiongelea kuhusu Weusi, maproducer anaopenda kufanya nao kazi na rappers anaowakubali

Unknown     12:10 AM    

Wiki hii kwenye kipindi cha Trending Africa cha Times FM 100.5, Lord Eyez alifunguka mengi kuhusu asili yake, maproducer anaopenda kufanya nao kazi, tofauti ya Weusi na Nako 2 Nako, jinsi walivyosota na Joh Makini baada ya kuja Dar kurekodi na rappers wa Tanzania anaowakubali. Trending Africa huendeshwa na Raheem Da Prince, Moko Biashara na Dj R Guy. Itazame video ya interview hiyo.

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.