Video: Baada ya kuimba mbuzi kijana apigwa juju na kuanza kula majani:

Unknown     11:43 PM    


Katika kesi ya ajabu,mwanaume mmoja asababisha vurugu na mkusanyiko wa watu wengi katika miji wa Karatia kata ya Nyeri baada ya kukutwa akila majani kama ng'ombe na kudaiwa kuwa amepigwa juju baada ya kuiba mifugo aina ya mbuzi.
kijana huyo alikutwa akitafuna majani huku mdomo ukiwa umejaa,  na kudaiwa kuanza kutafuna majani kwa takribani siku tatu sasa, akiongea na KTN mtu wakaribu na kijana huyo alisema hafahamu nini kimemtokea kijana huyo lakini anasema kijana huyo alisema alijikuta tu anakula majani baada ya kuamka kutoka usingizini.
kutokana na wakazi wa pale wamesema kuwa, alilaaniwa kila ambae alihusika katika wizi wa mbuzi, na kijana huyo anashukiwa kuwa ni mmoja wa wezi hao

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.