UPDATE: Wanafunzi wa shule ya manzese wakumbwa na mapepo yawaangusha 30 chini muda huu

Unknown     3:43 AM    

Wanafunzi wa shule ya secondary manzese zaidi ya 30 muda huu wanaanguka hovyo na kusema a maneno yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna nguvu za Giza zimetanda shuleni hapo huku wakijibamiza kwenye miti:

Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese aliyeanguka na kuweweseka.

Mpaka sasa haijafahamika chanzo cha wanafunzi wa shule hiyo kukimbia ovyo,kuanguka na kuweweseka. Wadau  wa  mambo ya giza wanadai  ni  NGUVU ZA KICHAWI

Picha/Habari Zainab Chondo -ITV

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.