“Uhusiano bila kukutana kimwili ni kuongopeana”.... Muigizaji Tope Osoba

Unknown     6:03 AM    

tope-osoba_350 Muigizaji Tope Osoba wa Nigeria, amekataa kuwa na mahusiano bila ya kukutana kimwili, na kufunguka kwamba anashangazwa na wasanii wengi wa Ghana na Nigeria wamekuwa wakiolewa na wanaume zao kuishi nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka na hakuna kati yao aliyepata nafasi ya kumtembelea mwenzake.

“Ngono ni kitu cha kuburudishana kati ya wawili wapendanao. Ngono ni nzuri. Imeumbwa ili wapenzi wa-enjoy na kubadilishana siri za mioyo yao.” Alifunguka actress huyo.
Alipoulizwa kuhusu mapenzi kabla ya ndoa, Tope alisema: “Mapenzi kabla ya ndoa ni poa tu, al muradi usalama kwanza. kwanza tusidanganyane, hauwezi kudumisha uhusiano bila ngono.”
Alifafanua kuwa maisha ya namna hiyo hayapo na kama yapo yana kitu nyuma ya pazia kwa kuwa hakuna mwaminifu bila ya sababu ya msingi.

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.