Twitter za Zitto Kabwe Akimshawishi Mtanzania Adam Nditi Anaye Cheza Mpira Chelsea Aje Kuchezea Team ya Taifa

Unknown     11:39 PM    



ninahamu ya kuja kuchezea taifa stars ila kwanza nataka nipate experience 
 SWALI
salaam Adam, lini utajiunga ?
 JIBU
halafu hatakama nikija niwe na uwezo wa kusaidia timu kama nitaitwa kwasababu ninahamu ya kuja kuichezea taifa stars
ZITTO KABWE AKASEMA
 
ninakushauri ushiriki nasi katika kampeni ya maana lazima tupate kila talent ya Tanzania
 
nakutakia Kila la kheri katika juhudi zako. Bidii na uhodari vinalipa sana

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.