Raha ya " Baikoko" Mambo ya Tanga hayoo!! Picha na Video
Unknown
2:18 AM
Pengine baadhi yetu tumewahi kuisikia au kuona mambo ya baikoko. Ni mitindo ya kunengua na kukata mauno kwa wenyenji wa Tanga wanajua zaidi. Hebu cheki mwenyewe ujionee inakuaje hiyo Baikoko!