LWAKATARE ashindwa kuingia uraiani leo.....hakimu yupo likizo kwa wiki mbili

Unknown     2:40 AM    

Hakimu anayesikiliza Kesi ya Lwakatare (CHADEMA) katika mahakama ya Kisutu Mh. Katemana yupo likizo kwa wiki mbili na hivyo Mahakama imeshindwa kutoa dhamana kwa Lwakatare na kuipiga kalenda kesi hiyo mpaka Tarehe 27 Mei.

Hata hivyo, Mawakili wa Lwakatare wanafanya juu chini ili waweze kupata dhamana yake japo juhudi zinaonekana kugonga mwamba.....
Credit: JF

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.