LICHOKISEMA FID Q, BAADA YA NIKI MBISHI KUTOA WIMBO UNAOKWENDA KWA JINA LA NEY WA MITEGO.

Unknown     1:24 PM    

Rapper mkali kutoka MWANZA, FID Q ameonekana kuutazama wimbo mpya wa NIKKI MBISHI kama moja ya vitu vinavyoweza kupekea BEEF kubwa kati ya msanii huyo na NEY WA MITEGO ... FID Q aliyasema hayo kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya kuulizwa swali kwenye program yake ya mara kwa mara mtandaoni humo ya #ASKFidQ kuhusiana na wimbo huo ...
Swali lilikuwa hivi: Nini mawazo yako juu ya nikki mbishi na his new track (ney wa mitego) ??
@FidQ akajibu, "Nisingependa kuona beef kati yao ..." FID is one of the illest Hip-Hop emcees in TANZANIA na hilo halina ubishi, ni lipi ameliona katika mdundo huu wa HIP-HOP wa NIKKI MBISHI ?? BEEF kali kuibuka ??
Anyway, ngoja tuskilizie tuone ... Na kama hujausikia mdundo huo wa NIKKI MBISHI unaofahamika kama NEY WA MITEGO


Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.