Jiandae kwa sababu hizi 14 wanazotoa mademu wengi pindi unapotaka kufanya nao mapenzi

Unknown     11:26 AM    


Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza, kwa sababu kuna mwanaume mwingine anaweza akongea na demu mpya leo akamkubalia kirahisi ila kuna mwingine atapata vikwazo kibao.
Hizi ni sababu ambazo utazipata kutoka kwa mwanamke pindi unapomuhitaji  kufanya nae mapenzi wakati unampotokea lengo ikiwa ni kukupima kama umedhamiria kumpenda:
  •  Nina boyfriend / mume / mchumba
  • Ninaumwa (malaria/tumbo/kichwa/n.k.)
  • Mama yangu mgonjwa
  • Niko bize na kazi
  • Nimeokoka nampenda Yesu! Mwanaume wangu ni Yesu tu!
  • Wiki hii nina test (kwa wanavyuo)
  • Mi sitaki mambo hayo, mpaka nimalize masomo nipate na kazi
  • Mi bado mdogo
  • Niko kwenye period
  • Sitaki!!
  • Nyumbani kwetu geti kali siwezi kutoka
  • Wewe sio mwanaume wa type yangu (mfupi sana/mweusi sana/mweupe sana/huna hela/umezeeka n.k.)
  • Mi sitoki/siongei na watu nisiowajua (strangers)
  • Sijisikii kuwa na wewe / sikupendi!
  • na kadhalika
  Je ni mara ngapi umekwamishwa na mojawapo ya vikwazo kama hivyo hapo juu?
Ili kuepukana ivo vikwazo na uweze kufanikiwa inabidi ujiandae:
.>kiakili,
>kimuonekano
> usome mazingira
> kumsoma mwanamke.


,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.