Huyu ndio BIG BOSS Chief Kiumbe ambaye anatajwa sana kwenye nyimbo za wasanii wetu kutoka hapa bongo kuanzia band hadi wale wa bongo fleva. Leo usiku nilikutana nae pande za town akipita na tukapiga story mingi na kuniambia kwa sasa amenunua mkoko mpya na huku ukiwa na namba yenye jina lake kama unavyoona kwenye picha
Amir Maftaa akiwa na Chief Kiumbe