Huyu ndiye kiongozi wa chadema aliyepigwa risasi jijini Mbeya....

Unknown     2:25 PM    

Katibu mwnezi wa chadema wilaya ya mbeya vijijini Jackson Mwasenga ambaye pia ni mwenyekiti wa Kitongoji cha mzalendo kijiji cha Ndola mjini Mbalizi akiwa katika Hospitali ya Mbalizi Ifisi akipata matibabu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana.

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.