Vanity mwenye miaka 30 mama wa watoto wa wawili wa nchini Marekani kabla alikuwa mwembamba tu hana makalio.
Vanity anavyoonekana sasa baada ya kukuza hips na makalio.Anasema ameamua kuandika kitabu kuelezea ukweli kwa nini aliamua kufanya hivyo.
Anasema kuwa kwenye process wanawake wengi hupoteza maisha,hupata ulemavu wa kudumu na matatizo mengi tu hutokea.Wanawake wengi kisa kamuona mtu fulani kafanikiwa kukuza makalio hupata tamaa matokeo yake huenda kwa wataalam wa vichochoroni kukwepa gharama.Matokeo ndio huwa vifo na ulemavu.
