Hivi kumbe Kutongoza ni Kipaji?

Unknown     12:01 PM    










Aisee nakumbuka enzi niko secondary na chuo nilikuwa natamani sana
kutongoza. Lakini cha ajabu ilikuwa nashindwa kuanza, na nilipojitutumua
basi tena hadi jasho linakuwa linanitoka (kwa hofu). Lakini nilikuwa
nashangaa kuna jamaa zangu wao ilikuwa easy kweli yani mkikutana na
demu, akitoa tu salamu tayari inakuwa na mwelekeo wa kutongoza na
akitaka kumtongoza basi inakuwa kirahisiiiiiiii. Ila mi ilikuwa ngumu
aisee...


  Ila kwa sasa nashukuru nimegundua mbinu... siumizi kichwa... ni pasi
moja ndefu hadi golini... Yaani nikimtaka demu ni kumsalimia kisha
naenda moja kwa moja to the point ...aisee nimekufeel sana
natamani unipe hapo hiyo kitu yako, Unasemaje... Then from there inabaki
tu kusisitiza maana nimeshatamka shida yangu.



Ila mi naona kutongoza ni kipaji aisee...

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.