Diamond apata mchongo mwingine wa show kimataifa 'comoro' ni mwendo wa kuingiza salio kwenda mbele

Unknown     11:02 AM    


Akiwa hajamaliza wiki mbili  toka atoke kwenye tour,Sasa leo kupitia katika ukurasa wake wa instagram aliweza ku post hii picha huku pembeni akiwa mtu mwenye asili ya Asia ambaye ni promoter hata hivyo diamond aliweza kupost  nyingine  huku akisema #After I did the Uk,Congo,Burundi,......guess where next i ll be headed"
DONE DEAL!!!.... #COMORO! #COMORO! #COMORO! 22nd/June/2013... on Ma way Darlin #Wasafi.

Baada ya kumaliza kusaini mkataba wake aliweza kupost hii picha ya
pili...(Mkataba)
SOURSE: DJ Fetty

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.