Daktari athibitisha hali ya M 2 the P kuendelea vizuri na kuwa anaongea kwa sasa, msikilize daktari hapa

Unknown     11:02 AM    

habari zenye uhakika kutoka kwa Dr aliekuwa ICU, katika hospitali ya St Hellen Joseph, zimethibitisha kuwa msanii aliekuwa na Ngwea wakati mauti yanamkuta, ambae yeye pia alikua hoi hospitali, anaendelea vizurin, na anaongea kwa sasa, ila uchunguzi wa kile kilichosababisha kufikishwa hospitali hapo bado unaoendelea
hapa Dr anaongea kuhusu maendeleo ya M2theP

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.