Dada silvia anatafuta mchumba kuanzia miaka 35-40

Unknown     1:36 AM    


Habari zenu! Nimekuwa nikiona wenzangu wanafanikiwa kupata wachumba na hatimaye ndoa kupitia blogu mbalimbali. Naomba na mimi uniwekee tangazo langu ndugu yangu, naitwa Silvia natafuta mchumba mwanaume ambaye yupo makini, mpole, na aliye tayari kuanzisha familia. Asiwe malaya, asiwe na watoto, asiwe na mke wala ambaye hajawahi kuoa, awe mkristo na pia awe na elimu ya chuo kikuu. Umri wake kuanzia miaka 35 mpaka 40. 
Napatikana kwenye email address: 

,

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.