| mama lulu na mama Kanumba wakicheza kwa pamoja |
| lulu akicheza na mama zake |
| dada yenu katikati |
| happy people |
![]() |
| tunakula bata mpaka kuku anaona wivu |
![]() |
| Dj anayeongoza kukesha na kula bata mjini tehetehee |
hatuandiki mengi bado tupo katika maombolezo, tunasubiri updates kutoka SA za kuaminika na sio blogs nyingine kutaka waweke story wa kwanza kumbe wana post utumbo.
From:Sinta


