Swizz alimpigia na kumwomba mchango wa Birdman kwa ajili ya kuchangia Charity ya Swizz, na mazungumzo yaliendelea na patamu palikuja pale alipoulizwa atachangia mshiko kiasi gani alijibu hivi:
"Anything for you homie... $10,000, $40,000, $50,000, whatever works for you."
"The number you stopped on wasn't a bad one," Swizz replied, grabbing the $50,000 offer from Baby.
Birdman ni noma aliamua kuchangia $50,000 ambazo ni sawa na shilingi 81,250,000.00 za kibongo.birdman anasifiwa kwa kumiliki magari makali na private jet za kifahali zaidi.