BAADHI YA PICHA KUTOKA KANISANI AMBAKO BOMU LIMERIPUKA, ARUSHA

Unknown     7:33 AM    

Photo: Hili ndo kanisa la olasiti....Mlipuko ulipotokea mapema asubuhi..!
Hili ndo kanisa la olasiti....Mlipuko ulipotokea mapema asubuhi
Photo: Hii ni sehemu ambayo mlipuko umetokea asubuhi katika kanisa la olasiti hapa arusha....! Hii nin? Sema la moyoni.....comment..!
Hii ni sehemu ambayo mlipuko umetokea asubuhi katika kanisa la olasiti hapa arusha
Photo: Mt.meru hospital....Ndugu na jamaa wakiwa nje ya hospitali kusubili taarifa za waliojeruiwa katika mlipuko uliotokea mapema asubuhi kanisani olasiti..!


Mt.meru hospital....Ndugu na jamaa wakiwa nje ya hospitali kusubili taarifa za waliojeruiwa katika mlipuko uliotokea mapema asubuhi kanisani olasiti

Recommended

Like Us

Company

Legal Stuff

FAQ's

Blogroll

Subscribe to Newsletter

We'll never share your Email address.
© 2015 Umbeya Specially. Blogger Templates Designed by Bloggertheme9. Powered by Blogger.